MVIWAARUSHA wafanya mkutano mkuu wa 12







Ijumaa ya tarehe 13, December 2024 ilikuwa siku kubwa kwa Mtandao wa vikundi vya wakulima na wafugaji mkoa wa Arusha, ambapo walikutana wanachama kwenye mkutano mkuu wa mwaka ili kujadili na kupanga maendeleo ya taasisi
Katika mkutano huo ulifanyika ukumbi wa New Life Hall njiro, wanachama pia wamechagua viongozi wapya watakaoongoza kwa miaka mitatu ijayo.
Katika uchaguzi huo, Mzee Anderson Sikawa amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa MVIWAARUSHA, akisaidiwa na Veronika Mungai kama makamu mwenyekiti, Huku Gabriel Mwarabui akiwa mweka hazina.
Leave a Reply